Search
  • nuralirashidi

CYDO MEETS VILLAGE LEADERS AT KWEMASHAI WARD

Kikao kazi Kati ya Shirika lisilo la Kiserikali lijulikanalo kwa jina la Changamoto Youth Development Organization na Uongozi wa Serikali ya Kijiji cha Kwemashai ambako Shirika hili linatekeleza mradi wa upandaji miti ya asili katika maeneo mbalimbali ikiwemo msitu wa asili wa Magila/Mkussu ukiwa lengo kuu ni kujadili namna ya kulinda miti iliyopandwa na kuitunza misitu hiyo dhidi ya majanga ya Moto.

Picha na CYDO,Nov-2021.

In summary VILLAGE FOREST MANAGEMENT COMMITTEE had a workshop with Management of Changamoto Youth Development Organization at Kwemashai ward discussing about measures to be taken to protect the planted Forests from fire especially the Magila Nature Forest Reserve.

Picture by CYDO,Nov-2021


2 views0 comments

Recent Posts

See All