Search
  • nuralirashidi

TUNZA MITI IKUTUNZE.

Kazi nzuri ikiwa inaendelea katika kuimarisha jitihada za kuzalisha miti mingi ya asili,miti ya mbao na miti ya matunda kwa ajili ya kugawa miti hiyo bureeee kabisa pindi ambapo wakati wa kupanda miti ukifika ambapo mvua zinakuwa nyingi na za kutosha kuweza kurahisisha ukuaji wa miti.

This picture summarizes all the good work that we do at our nursery in reaching the objectives of greening Lushoto and Ta

nzania at large.PLEASE SUPPORT US...!

1 view0 comments

Recent Posts

See All